Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Bei elekezi za mafuta zinazoanza kutumika kesho Disemba 5

Tuesday 04-12-2018 09:00:02pm Swahili Times


Bei za jumla na rejareja za mafuta yaliyoingizwa kupitia Bandari ya Dar es Salaam kwa mwezi Disemba zimepanda ukilinganisha na bei za bidhaa hizo zilizotolewa Novemba 7 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), bei za rejareja ya petroli imepanda kwa TZS 40/lita, dizeli TZS 50/lita na mafuta ya taa TZS 88/lita. Kwa upande mwingine EWURA imeeleza kuwa, bei ya jumla za bidhaa hizo nazo zimepanda ambapo petroli imeongezeka kwa TZS 39.68/lita, dizeli TZS 50.22/lita na mafuta ya taa 87.48/lita. Hapa chini ni taarifa ya EWURA kuhusu bei za . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E