🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Tuesday 04-12-2018 09:00:02pm Swahili Times
Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018 ulisomwa kwa mara ya kwanza bungeni Ijumaa Novemba 16, 2018. Katika muswada huo miongoni mwa mambo yanayopendekezwa ni kuongezwa kwa kifungu ambacho kitampa mamlaka Msajili wa Vyama vya Siasa kusitisha usajili wa chama cha siasa kitakachovunja masharti ya sheria husika. Mbali na jambo hilo, jambo jingine lililojadiliwa katika muswada huo ni kusudio la kuzuia viongozi wa vyama vya siasa kuwa wajumbe wa bodi ya wadhamini. Muswada huo unapendekeza pia kuongezwa kwa vifungu ili kuainisha makosa na adhabu na kusitishwa kwa usajili wa vyama vya siasa vitakavyokiuka masharti ya sheria. . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E