Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Rais Magufuli ateua Mwenyekiti na Makamishna 5 wa Tume ya Utumishi wa Umma

Tuesday 04-12-2018 09:00:02pm Swahili Times


Ikulu, Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Jaji Mstaafu Steven Bwana kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma kwa kipindi cha miaka 3. Pamoja na kumteua mwenyekiti wa tume, Mhe. Rais Magufuli amewateua Makamishna 5 wa Tume ya Utumishi wa Umma. Walioteuliwa ni; George D. Yambesi Balozi Mstaafu John Michael Haule Immaculate P. Ngwale Yahaya F. Mbila Balozi Mstaafu Daniel Ole Njoolay. Uteuzi huu wa Mwenyekiti na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma umeanza tarehe 22 Novemba, 2018. Gerson Msigwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU Dar es . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E