Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Mengi asimulia alivyompata mwanamuziki K-Lynn

Tuesday 04-12-2018 09:00:02pm Swahili Times


Mmiliki wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi ameeleza jinsi alivyokutana na mlimbwende wa Tanzania mwaka 2001, Jacqueline Ntuyabaliwe maarufu K-Lynn kwa mara ya kwanza jijini London, Uingereza mwaka 2010. Akizungumza na kituo cha televisheni Citizen cha Kenya nyumbani kwake, Mengi amesema kama asingekuwa na mrembo huyo hadi sasa huenda angekuwa ameshafariki dunia. Kinyume na watu wanavyofikiria anakiri kuwa haikuwa rahisi kumpata K-Lynn na huenda yeye ni miongoni mwa watu walionufaika na mashindano ya Miss Tanzania. “Niliwahi kumsikia lakini hatukuwahi kuonana, lakini ikatokea nafasi wakati nipo safarini Uingereza ambako nilikuwa na shughuli za kibiashara na Jacqueline alikuwa yuko Jijini Birmingham kwenye . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E