đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Tuesday 04-12-2018 09:00:02pm Swahili Times
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi Lut. Jen. Mstaafu Wyjones Mathew Kisamba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumbu (Tanzania Automotive Technology Center). Balozi Lut. Jen. Mstaafu Kisamba anachukua nafasi ya Prof. Burton Mwamila ambaye amemaliza muda wake. Wakati huo huo, Mhe. Rais Magufuli amemteua Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Mbaraka Sultan Semwanza kuwa Kamishna wa Utawala na Fedha katika Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. SACP Semwanza anachukua nafasi ya CF Michael Shija ambaye amestaafu. Uteuzi wa viongozi hao umeanza leo tarehe 04 Desemba, 2018. Gerson Msigwa Mkurugenzi . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E