🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 19-04-2019 09:00:04am Bongo5
Kenya. Polisi katika Kaunti ya Migori wamesema wamepata nyeti za mwanamume wa miaka 31 aliyevamiwa na uume wake kunyofolewa na watu wasiojulikana mnamo Aprili 13. Tukio hili la kushangaza lilitokea eneo la Suna Magharibi. Mkuu wa polisi katika kaunti hiyo Bw Joseph Nthenge alieleza wanahabari kwamba uume wa Felix Otieno ulipatikana mjini Sirare, Tanzania usiku …The post Kenya: Uume wa mwanamume aliyevamiwa na kung’ofolewa nyeti zake wapatikana Tanzania appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E