🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 19-04-2019 09:00:04am Bongo5
Rais Ibrahim Boubacar Keita wa Mali amekubali ombi la kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Soumeylou Boubeye Maiga na Baraza lake zima la mawaziri. Waziri Mkuu Soumeylou Boubeye Maiga Soumeylou Boubeye Maiga alichukuwa hatua hiyo hapo jana, kufuatia wiki mbili za maandamano ya umma dhidi ya mauaji ya kiholela katika taifa hilo la magharibi mwa Afrika. “Rais …The post Waziri Mkuu wa Mali ajiuzulu pamoja na baraza zima la mawaziri appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E