🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 19-04-2019 09:00:04am Bongo5
Utafiti mpya umebaini kwamba mmoja wa wanyama wakubwa kabisa anayekula nyama aliishi nchini Kenya yapata miaka milioni 23 iliyopita. Mnyama huyo aliyepewa jina la “Simba Mkubwa Kutoka Afrika”, alitambuliwa kutokana na meno na mabaki ya mifupa iliyopatikana magharibi mwa Kenya miongo kadhaa iliyopita. Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Ohio nchini Marekani wanaamini mnyama huyo alikuwa …The post Simba mkubwa kabisa agunduliwa Kenya, apewa jina la ‘Simba Mkubwa Kutoka Afrika’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E