Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Kigogo mmiliki wa mabasi apandishwa kizimbani kwa uhujumu uchumi

Wednesday 24-10-2018 09:00:03am Swahili Times


Mfanyabiashara na mmiliki wa mabasi ya Princess Muro yanayofanya safari katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania, Majid Abdallah maarufu kama Kimaro (51) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi (wizi na utakatishaji wa mafuta). Akisoma Mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Maira Kasonde, Mwendesha Mashtaka na Wakili wa Serikali, Esther Martin amedai kuwa mshtakiwa huyo alitenda makosa hayo kati ya Januari 2015 na Januari 2018 katika maeneo tofauti ya Kigamboni jijini Dar es Salaam. Wakili Esther akisoma shtaka la kwanza alisema mtuhumiwa anakabiliwa na kosa la wizi wa lita 15950.3 za mafuta . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E