🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Wednesday 24-10-2018 09:00:03am Swahili Times
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo kwa mara ya kwanza ameiweka wazi sura ya mwanae (Keagan), akiwa ni siku muhimu kwake kwani ametimiza miaka 7 ya ndoa. Katika siku hii kubwa kwake, RC Makonda ameandika kuwa; “Siku ya leo ni siku kubwa kwangu sababu nimetimiza miaka saba ya ndoa yangu, nikitizama njia tuliyopita bado nawaza tumewezaje kufika tulipo, na ndipo ninapomrudishia MUNGU sifa na utukufu.” Amesema kuwa, wakati akisherehekea miaka saba yake ya ndoa, anayofuraha kubwa kwani ana mtoto wa kiume kwani kwa wanandoa, mtoto ni moja ya zawadi kubwa sana ambayo Mungu hukuwajalia. “Leo namshukuru . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E