Bongo Trends

πŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Kila nikitoa video ya wimbo mpya, anakufa mtu – Mbosso

Wednesday 02-01-2019 09:00:03pm Bongo5


Msanii wa muziki kutoka WCB, Mbosso ameeleza namna mwaka 2018 ulivyokuwa mwaka wa changamoto kwenye muziki wake. Mbosso amesema kuwa mwaka jana alikuwa na mkosi kwani kila alivyoachia video ya ngoma mpya, siku hiyo hiyo kulitokea msiba mkubwa Tanzania. “Kuna vitu vilikuwa vinatia unyonge. Mwaka 2018 kuna watu walikuwa hawajajua kwamba kila nikitoa wimbo, lazima …The post Kila nikitoa video ya wimbo mpya, anakufa mtu – Mbosso appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E