Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Rafael Benitez afunguka mengi kuhusu Manchester United “Naamini itaingia top four, ina kila sifa”

Wednesday 02-01-2019 09:00:03pm Bongo5


Aliyekuwa kocha wa Liverpool, Real Madrid, Chelsea, Napoli na nyinginezo ila kwa sasa akikinoa kikosi cha Newcastle United, Rafael Benitez amefunguka mengi kuhusu United. Kocha huyo ameongea hayo kabla ya mchezo wao wa leo usiku ambapo Newcastle wataikaribisha Manchester katika mchezo huo wa ligi. Benitez amefunguka na kutoa maoni yake kuhusu Manchester na kusema kuwa …The post Rafael Benitez afunguka mengi kuhusu Manchester United “Naamini itaingia top four, ina kila sifa” appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E