Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Kwa ofa hii ya tatu kutoka Barcelona Chelsea wanaweza kumwachia Willian?

Saturday 21-07-2018 09:00:01pm Bongo5


Klabu ya Barcelona ya Catalunya nchi Uhispania umetuma ofa nyingine kwa mara ya tatu katika klabu ya Chelsea kuisaka saini ya winga wa timu hiyo Mbrazil Willian. Willian amekuwa akiwindwa na vilabu vingi sana barani Ulaya hasa Barcelona,pamoja na Manchester United vikionyesha kuridhishwa na kiwango cha winga huyo,ingawa Barcelona wameonesha nia kubwa ya kumtaka winga …The post Kwa ofa hii ya tatu kutoka Barcelona Chelsea wanaweza kumwachia Willian? appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E