Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Usajili uliotia fora zaidi, watambulishwa kwa ‘helicopter’ jiji lazizima (+Picha)

Saturday 21-07-2018 09:00:01pm Bongo5


Mapema juzi siku ya Alhamisi klabu ya Feyenoord inayoshiriki ligi ya Uholanzi imesherehekea miaka 110 ya kuanzishwa kwake huku ikiwatambulisha wachezaji wake wapya wawili. Katika sherehe hizo wachezaji, Yassin Ayoub na Luis Sinisterra ambao ni wapya walipata bahati ya kutua na ‘helicopter’ ndani ya uwanja wa klabu hiyo na kutambulishwa mbele ya washabiki waliyohudhuria sherehe hizo. Maelfu …The post Usajili uliotia fora zaidi, watambulishwa kwa ‘helicopter’ jiji lazizima (+Picha) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E