🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 06-03-2019 09:00:03am Bongo5
Ikiwa ni siku mbili toka mazishi yapite ya aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi na Uzalishaji wa CloudsMedia, Ruge Mutahaba, Jumatano hii Mama mzazi wa marehemu amefunguka kuzungumzia mambo mbalimbali pamoja na kuwashukuru Watanzania kwa kumpatia heshima kubwa mtoto wake. Akizungumza na mahojiano maalum na Clouds Media, Mama Ruge alisema mwanae huyo alikuwa anawapenda sana watoto wake na wao ndio kitu wanachojivunia kwa sasa. “Ni wajuu …The post Mama Ruge: Afadhali Ruge ametuachia watoto, asingekuwa na watoto tungeumia zaidi (Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E