🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 06-03-2019 09:00:03am Bongo5
Wafanyakazi wa 6 wa Clouds Media ambao walikuwa wakitokea Bukoba kwenye mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi na Uzalishaji wa CloudsMedia, Ruge Mutahaba kuja Dar es salaam wamepata ajali nje kidogo ya mji wa Dodoma. Kwa mujibu wa taarifa walioitoa, wamedai mpaka sasa wafanyakazi hayo wamepelekwa hospitali kwaajili ya kupatiwa matibabu. Taarifa ya Clouds “Tunasikitika kuwataarifu kuwa sehemu ya …The post Wafanyakazi wa Clouds wapata ajali wakitokea Bukoba kuja Dar (Picha) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E