Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Queen Darleen: Baba alikuwa na pesa hata ukampa vipi hatosheki, Diamond anawasiliana naye sana (Video)

Tuesday 05-03-2019 09:00:03pm Bongo5


Dada yake Diamond Platnumz, Queen Darleen amekanusha taarifa ambazo zilizagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba wamemtelekeza baba yao akiwa mgonjwa. Wiki iliyopita katika mitandao ya kijamii zilikuwa zinasambaa video zikimuonyesha mzee huyo akilalamika huku akidai kwa sasa ni mgonjwa na anahitaji msaada. Akiongea na Wasafi TV, Darleen amedai picha mbaya za mzee huyo ambazo zinasambaa …The post Queen Darleen: Baba alikuwa na pesa hata ukampa vipi hatosheki, Diamond anawasiliana naye sana (Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E