đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Monday 02-07-2018 09:00:02pm Swahili Times
Jana Julai 1 2018 Rais Dkt John Magufuli alifanya mabadiliko katika Baraza lake la Mawaziri, mabadiliko ambayo yalitangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi John Kijazi. Katika mabadiliko hayo, moja ya walioteuliwa katika nafasi mpya ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Alphaxard Lugola, Mbunge wa Mwibara ambaye anachukua nafasi ya Dkt Mwigulu Nchemba aliyeondolewa katika Baraza la Mawaziri. Leo Julai 2 2018 Rais amewaapisha viongozi hao wapya na katika hotuba yake fupi baada ya uteuzi ameeleza matarajio yake katika utendaji wao lakini pia masikitiko yake kuhusu utendaji wa waliowatangulia. Moja ya sehemu ambazo Rais Magufuli ameeleza masikitito na . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E