Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Southgate awataka wachezaji wake kupambana hadi tone la mwisho la damu dhidi ya Colombia

Tuesday 03-07-2018 09:00:02am Bongo5


Meneja wa timu ya taifa ya Uingereza, Gareth Southgate amewataka wachezaji wake kupamabana hadi tone la mwisho la damu yao wakati watakapo wakabili Colombia hii leo kwenye mchezo wa kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la dunia inayoendelea nchini Urusi. Uingereza ambayo imeingia hatua ya 16 bora itakuwa na kibarua kizito dhidi .The post Southgate awataka wachezaji wake kupambana hadi tone la mwisho la damu dhidi ya Colombia appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E