🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 30-03-2019 09:00:04pm Bongo5
Klabu ya Leicester City inatarajia kufanya ‘birthday’ ya aliyekuwa mmiliki wa timu hiyo, Vichai Srivaddhanaprabha kwa kuwapatia mashabiki wake pombe za bure pamoja na keki kwenye mchezo wao ujao dhidi ya Bournemouth. Makamu mwenyekiti klabu ya Leicester City, Khun Aiyawatt Srivaddhanaprabha ameamua kutoa ofa hiyo ya kuwapatia bia za bure, keki na maji mashabiki wote …The post Mashabiki wa Leicester City kunywa pombe za bure leo kwenye mechi yao dhidi ya Bournemouth appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E