Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mwanamke aliyefariki toka mwaka jana ajifungua, azikwa siku moja baada ya kupatikana kwa mtoto huyo

Saturday 30-03-2019 09:00:04pm Bongo5


Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 26 nchini Ureno, amejifungua mtoto wa kiume siku ya Alhamisi licha ya kutangazwa kuwa ni mfu toka mwezi Disemba mwaka jana. Mwanamichezo wa kimataifa, Bi Catarina Sequeira alipatwa na shambulio kali la pumu akiwa nyumbani kwake. Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Bi Sequeira mwenye umri wa …The post Mwanamke aliyefariki toka mwaka jana ajifungua, azikwa siku moja baada ya kupatikana kwa mtoto huyo appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E