Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Masharti unayopaswa kutimiza ili kupata dhamana polisi

Saturday 01-09-2018 09:00:02am Swahili Times


Watu wengi wanapokamatwa na polisi, licha ya kuwa makosa wanayotuhumiwa kuyatenda yanaruhusu wao kupewa dhamana, lakini hujikuta wakiendelea kusota rumande kwa sababu hawafahamu hatua za kufuata na masharti wanayotakiwa kutimiza ili kupata dhamana polisi. Makala hii itaeleza vitu vinavyotakiwa kufanyika ili upate dhamana lakini pia adhabu utakazokumbana nazo pindi utakapokiuka dhamana uliyopewa. Kwanza ieleweke kwamba dhamana inatolewa bure, hakuna malipo yoyote yanayotakiwa kutolewa ili mtuhumiwa au mshtakiwa akubaliwe dhamana. Jambo la msingi ni mtuhumiwa kuomba apewe dhamana na kutimiza taratibu kwa muijibu wa sheria. Vigezo vya kuzingatia kabla ya mtuhumiwa kabla ya kupewa dhamana ya Polisi. Polisi kujiridhisha kwamba mtuhumiwa . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E