Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Makala: Mambo ya kuzingatia unapotafuta mwenza wa kuoa au kuolewa

Saturday 01-09-2018 09:00:02am Swahili Times


Watu wengi ambao hawako kwenye uhusiano wa kimapenzi au wale wanaonza hujiuliza ni mambo gani ya msingi wanayoapaswa kuyaangalia kwa mtu ili kuweza kujua kwamba mtu huyu anaweza kuwa mwenza atakayeishi naye. Lakini, sio wao pekee ambao huuliza swali hili, wazazi wenye watoto ambao wanakaribia kuingia kwenye ndoa, nao hujiuliza swali hili ili waweze kuwapa watoto wao elimu hiyo muhimu. Wakati mwingine tunakuwa na orodha ya vitu ambavyo tunataka mwanaume au mwanamke awe navyo kama vile muonekano, kipato, elimu, rangi na vingine vingi. Hii haimaanishi kuwa vitu hivi si vya muhimu kuviangalia, lakini kuna vingine ambavyo ni vya muhimu zaidi . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E