Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Sababu 4 zinazozingatiwa katika kuchagua Mji Mkuu wa nchi

Friday 31-08-2018 09:00:02pm Swahili Times


Mji Mkuu wa taifa lolote huwa ndio makao makuu ya shughuli za kisiasa na mamlaka za kiserikali. Katika nchi nyingi duniani, mamlaka nyingi za kisiasa huwa katika mji mkuu wa taifa husika. Mji Mkuu wa nchi husika unaweza ukawa na ofisi kubwa za kiserikali kama vile Bunge, Mahakama, na Utawala. Mbali na hayo makao makuu yanaweza kuwa kitovu kikuu cha kitamaduni na mara nyingi huwa na sanamu za kitaifa zinazoonesha kumbukumbu mbalimbali za taifa husika kama vile askari waliopigana vita, tamaduni, makabila. Hakuna sababu moja inayoweza kutumika dunia nzima kwamba ndiyo inayotumiwa kuamua mji gani uwe mkuu. Kuna sababu mbalimbali ambazo kwa . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E