🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 17-01-2019 09:00:02pm Bongo5
Aliyenusurika katika shambulizi la kigaidi la Septemba 11 mwaka 2001 ni miongoni mwa watu 14 waliouawa na magaidi kwenye jengo lenye hoteli ya Dusit 2, Riverside jijini Nairobi nchini Kenya. Kijana huyo Mfanyabiashara raia wa Marekani, anajulikana kwa jina la Jason Spindler ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya I-Dev International, alinusurika katika shambulizi …The post Nairobi: Aliyenusurika shambulio la Septemba 11 Marekani ni miongoni mwa waliouawa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E