🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 17-01-2019 09:00:02pm Bongo5
Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu ametangaza nia ya kutaka kuwania Urais Tanzania mwakani iwapo chama chake kitaridhia. Tundu Lissu ambaye kwa sasa anatibiwa nchini Ubelgiji baada ya kujeruhiwa kwa risasi mwaka 2017 amesema vikao vya chama ndiyo vitatoa mwelekeo wa nani atasimama mwaka 2020. “Inawekana kabisa wanachama wenzangu na viongozi …The post Nitagombea Urais 2020 nikipewa ridhaa na Chadema – Tundu Lissu appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E