Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Njia 8 za asili za kuongeza uwezo wa ubongo kufanya kazi

Monday 24-09-2018 09:00:02pm Swahili Times


Umeshawahi kujikuta katika hali ambayo unajaribu bila mafanikio kukumbuka jina la mtu au kitu falani au mahala fulani lakini huwezi kukumbuka kabisa? Mara nyingi tunaambiwa kuwa uwezo wa kukumbuka unapungua wakati mtu anazidi kuwa mzee. Lakini kuna matumaini kuwa kuna njia za kuboresha ubongo wetu. Kwa hivyo kama unataka kuboresha uwezo wa ubongo wako basi kuwa tayari kufanya mambo haya. 1. Mazoezi hufanya ubongo wako kuwa mkubwa Mazoezi hufanya ubongo wako kuwa mkubwa Ni kweli ubongo wetu huwa mkubwa wakati tunafanya mazoezi. Mazoezi huchangia ubongo kuwa na mawasiliano mazuri na pia huchangia seli zaidi kukua. Kama unafanyia mazoezi yako nje . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E