Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Simulizi za manusura kuhusu yaliyojiri kabla ya kivuko kuzama

Monday 24-09-2018 09:00:02pm Swahili Times


Manusura wa ajili ya Kivuko cha MV Nyerere wamesema kuwa kivuko hicho kilizama ziwani baada ya aliyekuwa anakiongoza kukata kona ghafla kuelekea kilipokuwa kinatakiwa kutia nanga. Ochori Burana na Ruben Mpande wamesema kuwa aliyekuwa anaongoza kivuko hicho alikuwa akitumia simu yake, na kivuko kilipokuwa kinakaribia Kisiwa cha Ukara alishtua baada ya kuona kilikuwa kinaanza kwenda uelekeo tofauti na kunauwezekano akashindwa kukipeleka kinapotakiwa kushushia abiria. “Watu walikuwa wakimuonya kuacha kutumia simu yake na atilie mkazo kwenye kuongoza kivuko. Tulipokuwa tunakaribia Ukara tuliona kivuko kinakwenda upande wa kushoto wakati sehemu ya kushushia abiria ni upande wa kulia. Baada ya kugutuka alikata kona . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E