Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Mtanzania ajijengea kaburi la kifahari linalogharimu shilingi bilioni 1

Monday 24-09-2018 09:00:02pm Swahili Times


Mganga wa tiba asilia, Anthony Mwandulami mkazi wa Kijiji cha Itunduma Wangama, Mkoa wa Njombe, anajenga kaburi lake linalokadiriwa kugharimu takribani TZS bilioni 1 litakalotumika kuhifadhi mwili wake pamoja na miili ya wake zake mara watakapofariki. Ikiwa ni jambo la kushangaza kwa mtu kujijengea kaburi lake Mwandulami amesema yeye alifikia hatua hiyo kwa kile alichoona kwamba amefanya mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuwatibu watu wengi hivyo asingependa historia yake ipotee mara tu baada ya kufa ndio maana akajenga sehemu ambapo atahifadhiwa. “Kaburi hili nimeamua kulijenga, nimeona si vizuri sana kutokana na shughuli zangu nilizozifanya hapa Tanzania na nilivyowasaidia Watanzania, . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E