Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Majina ya walioteuliwa kuchunguza kuzama kwa Kivuko cha MV Nyerere

Monday 24-09-2018 09:00:02pm Swahili Times


WAZIRI Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa ametangaza tume ya kuchunguza ajali ya kivuko cha MV Nyerere yenye wajumbe saba ambayo itaongozwa na Jenerali Mstaafu, George Waitara. Akitangaza majina hayo kwenye Kijiji cha Bwisya katika kisiwa cha Ukara, wilayani Ukerewe, mkoani Mwanza leo (Jumatatu, Septemba 24, 2018), Waziri Mkuu amesema wajumbe hao wanapaswa kuikamilisha kazi hiyo ndani ya mwezi mmoja. Amewataja wajumbe wengine kuwa ni Mbunge wa Ukerewe, Bw. Joseph Mkundi, Mhandisi Marcelina Magesa, Wakili Julius Kalolo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Bi. Queen Mlozi. Wengine ni SACP Camillus Wambura na Mkurugenzi wa Idara ya Maafa katika Ofisi . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E