Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Picha 6 za ajali ya Waziri Dkt Hamis Kigwangalla iliyotokea leo

Saturday 04-08-2018 09:00:01am Swahili Times


Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamis Kigwangalla amepata ajali katika eneo la Magugu mkoani Manyara. Waziri Kigwangalla amejeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili wake, huku mwanahabari Hamza Temba akifariki dunia. Waziri Kigwangalla alikuwa katika ziara ya kikazi ambapo alikuwa akikagua utendaji kazi wa watendaji na mamlaka zilizopo chini yake pamoja na mapori mbalimbali nchini. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Augustino Senga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. Taarifa za awali kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa, Waziri Kigwangalla alikuwa akisubiria helikopta ili awahiswe hospitali. Hapa chini ni picha za ajali hiyo: Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E