🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Saturday 04-08-2018 09:00:01am Swahili Times
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, SACP Fortunatus Muslim ametangaza kusitisha zoezi la uhakiki wa vyeti vya madereva lililoanza hivi karibuni hadi hapo itakapotangazwa tena. Kamanda Muslim aliyasema hayo jana alipokuwa katika ziara yake ya kikazi akikagua utendaji wa watendaji waliopo chini yake ambapo ameeleza kuwa, ametoa muda wa madereva kwenda kusoma kwani ufahamu mzuri wa alama za barabarani utasaidia kupunguza ajali za barabarani. Akizungumza na baadhi ya madereva mbalimbali kuhusu ajali za barabarani alisema kuwa, ajali nyingi hutokea kutoka na ushindani unaokuwepo kati ya madereva. Alifafanua kuwa, dereva mmoja anapomuona dereva mwingine amekosea, (mfano kupita gari jingine sehemu . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E