Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Rais mdogo zaidi duniani aliyeishia kunywa ‘mataputapu’

Thursday 30-08-2018 09:00:01am Swahili Times


Enzi zake hakushikika kwa anasa lakini sasa ni ‘kula kulala’ kwa mama yake. SIKU tatu baada ya kutimiza umri wa miaka 25 ya kuzaliwa, Valentine Strasser aliweka rekodi ya kuwa Rais mwenye umri mdogo kabisa duniani. Ilikuwa Aprili 29, 1992, Strasser akiwa kijana mwanajeshi mwenye cheo cha kapteni, aliwaongoza wenzake kuvamia Ikulu ya Sierra Leone ambako walimkuta Rais Joseph Saidu Momoh akiwa amejificha ndani ya kabati lililopo bafuni, wakamteka na kumlazimisha kuikimbia nchi yake, naye bila kubisha akachukua helikopta na kutorokea Conakry, Guinea. Na baada ya Momoh kutorokea Conakry, Strasser alijitangaza kuwa Rais wa Sierra Leone. Aliwaongoza vijana wenzake sita . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E