Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Video: Marais 5 wanaolindwa zaidi duniani

Thursday 30-08-2018 09:00:01am Swahili Times


Katika taifa lolote lile dunia, Rais (Mfalme/Malkia) ndiye kiongozi wa juu zaidi na hivyo nguvu kubwa huelekezwa katika kuhakikisha usalama wake kwani endapo tatizo lolote litampata, mfano kuuawa, ajali, basi taifa husika litakuwa katika kipindi cha mpito hadi hapo atakapopatikana kiongozi mwingine wa kuchukua nafasi yake. Kutokana na umuhimu wa juu wa viongozi hawa, sababu ya nafasi wanazoshikilia, mara nyingi ulinzi wao huimarishwa sana, hasa pale wanapokuwa katika maeneo ambayo ni hatarishi mfano kwenye mikusanyiko ya watu, barabarani. Lakini, licha ya kuwa viongozi wote hawa ni muhimu kwa kila taifa husika, ulinzi wao hutofautiana. Kuna baadhi ya marais ambao hulindwa . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E