đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Wednesday 19-09-2018 09:00:02pm Swahili Times
Vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii linapokuja suala la mtu kuwa tajiri huweka picha za vitu vya ghali kama vile magari ya kifahari, ndege binafsi, majumba makubwa ya kisasa, fedha nyingi, kama ishara ya mtu aliyetajirika na hivyo kufanya suala zima la mtu kuona kuwa anaweza kuwa tajiri kubaki kuwa ndoto. Lakini ukweli ni kwamba watu matajiri duniani huishi maisha ya kawaida, na endapo utakutana nao, kama hutaambiwa au kusoma sehemu basi unaweza ukaona ni watu wa kipato cha kawaida kutokana na wanavyo vyaa pamoja na kula. Wakati mwingine mabilionea hao huonekana wa kawaida kuliko hata wale wenye . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E