Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Mtoto wa Mfalme wa Uingereza kukutana na Rais Dkt Magufuli

Wednesday 19-09-2018 09:00:02pm Swahili Times


Mwanamfalme wa Uingereza William anatarajia kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli wiki ajayo atakapokuwa katika ziara ya siku saba barani Afrika. Mwanamfalme huyo anatarajia kufanya ziara katika nchi kadhaa za Tanzania kuanzia 24 Septemba hadi 30 Septemba katika ziara ambayo siyo ya kikazi. Akiwa nchini Tanzania atazungumza na Rais Dkt Magufuli kuhusu jitihada ambazo Tanzania imekuwa kizichukua katika kukabiliana na ujangili na uhifadhi wa wanyama, jambo ambalo ndio lengo kuu safari hiyo. Mbali na Tanzania kiongozi huyo anatarajia pia kutembea nchi za Kenya na Namibia. Atafanya ziara hiyo kama Rais wa mashirika yanayotetea uhifadhi wa wanyama . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E