🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Wednesday 19-09-2018 09:00:02pm Swahili Times
Kama unaumwa na daktari amekuandikia kutumia dawa ya malaria ya Duo-cotecxin unahitaji kuwa makini zaidi wakati wa kununua dawa hiyo, kutokana na uwepo wa dawa bandia za aina hiyo katika maduka ya dawa za binadamu. Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imetoa tahadhari ya uwepo wa dawa hizo bandia na hivyo kuwataka wananchi kuwa makini wanapotaka kununua dawa hizo. Taarifa ya TFDA inaeleza kuwa dawa hizo zimetengenezwa na kampuni kutoka nchini China ambapo zina namba za utengenezaji 170259 na zimetengenezwa 25 Februari 2017 na mwisho wake wa matumizi ni Februari 2019. Hadi sasa mamlaka hiyo inawashikilia wamiliki wawili wa . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E