Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Spika Ndugai amsimamisha uanachama Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika

Monday 27-05-2019 09:00:04pm Swahili Times


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amemsimamisha uanachama wa Bunge la Afrika, Stephen Masele ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika kutokana na makosa ya nidhamu. Mbali na kumsimamisha, Spika pia amemuita nchini mbunge huyo kwa ajili ya mahojiano kutokana na utovu wa nidhamu alioufanya. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E