đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Monday 27-05-2019 09:00:04pm Swahili Times
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linawaonya wote wanaotumia vibaya nembo ya TFF kutangaza gharama za hoteli na kusafirisha Watanzania kwenda Misri kwenye AFCON. TFF inawataka kuacha mara moja kusambaza taarifa au vipeperushi vyenye nembo ya Shirikisho ambayo ni matumizi mabaya ya nembo ya Taasisi. Yeyote atakayeendelea kusambaza vipeperushi hivyo kwa kutumia nembo ya Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E