Bongo Trends

đź””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Tanzania kutumia gesi asilia kwenye mabasi ya mwendokasi na magari binafsi

Wednesday 19-09-2018 09:00:01am Swahili Times


Tanzania imepanga kunza kutumia gesi ya asilia katika mabasi ya mwendokasi jijini Dar es Salaam, hatua ambayo itachangia kupunguza gharama za nishati kwa asilimia hadi 50. Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Kapuulya Musomba amesema kuwa mreadi mzima utahusisha angalau mabasi 800 yatakayotumia gesi asilia. Mradi huo ukianza, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT) vitahusika katika ufungaji wa mfumo wa gesi asilia katika magari. Aidha, Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi (DART), Ronald Lwakatare amesema kuwa ufungaji wa mfumo wa gesi asilia mbali na kufungwa . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E