Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Wahalifu 10 tajiri zaidi kuwahi kutokea duniani

Wednesday 19-09-2018 09:00:01am Swahili Times


Kila mtu anatamani kuwa tajiri, na wengi hujituma katika shughuli zao kuhakikisha wanafikia lengo lao. Katika kufanya shughuli hizo, sio wote wanaofanya shughuli halali. Wapo wanaofanya shughuli halali lakini wapo wale wanaofanya shughuli ambazo sio halali na hivyo hawalipi kodi, na hivyo kuwawezesha kukusanya fedha nyingi. Wengi ambao hufanya shughuli zisizo halali mfano dawa za kulevya, silaha hujijengea himaya kubwa na kuhakikisha wanashirikiana na watu waliowatiifu kwake ili kuhakikisha kwamba siri zake haziifikii serikali. Hadi sasa dunia imeshughulia wahalifu wengi waliojijengea himaya ambao walikuwa na nguvu sana. Baadhi walikamatwa huku wengine wakikamatwa na wengine wakifariki na kuacha mali kwa mtu . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E