Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

TANZIA: Bingwa wa Dunia wa mbio za mita 400, Nicholas Bett afariki dunia

Wednesday 08-08-2018 09:00:02pm Bongo5


Bingwa wa Dunia wazamani wa mbio za mita 400, Nicholas Bett amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea hii leo siku ya Jumatano majira ya asubuhi huko Nandi. Kamanda wa polisi wa County ya Nandi nchini Kenya, Patrick Wambani amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo hii leo majira ya asubuhi. Bett amekuwa mwanariadha wakwanza kutoka Kenya …The post TANZIA: Bingwa wa Dunia wa mbio za mita 400, Nicholas Bett afariki dunia appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E