Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

USAJILI: Shaaban Iddi Chilunda atambulishwa rasmi Hispania

Wednesday 08-08-2018 09:00:02pm Bongo5


Mshambuliaji chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Shaaban Iddi Chilunda ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa klabu ya CD Tenerife kutoka nchini Hispania. Chilunda ambaye alikuwa akiitumikia Azam FC amesajiliwa na klabu hiyo ya CD Tenerife inayoshiriki Segunda Division (ligi daraja la kwanza) kwa mkataba wa miaka miwili. Kinda huyo aliyezaliwa Julai 20 mwaka 1998 anakumbukwa zaidi baada …The post USAJILI: Shaaban Iddi Chilunda atambulishwa rasmi Hispania appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E